Bukobawadau

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU BI CHRISTINA DIONIZI ILIYOFANYIKA KIJIJINI KISHANDA MULEBALEO DEC 24,2013

 Padre akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu Bi Christina Dionizi
 Sehemu ya familia katika Ibada ya mazishi
 Sehemu ya wanakwaya  wakishiriki ibada ya mazishi.
 Picha ya Marehemu Bi Christina Dionizi.
Picha mbalimbali taswira ya Ibada ya mazishi ya marehemu Bi Christina Dionizi .
Ibada ya Mazishi ikiendelea.
Yupo pia mzee Suleiman Kabyemela na Mdau  Majid Kichwabuta.
Matukio na picha zaidi kuhusiana na msiba huu yanapatika kupitia page yetu mpya ya facebook tafuta Bukobawadau Entertainment Media
Zoezi la kushuhudia mwili wa marehemu.
Ibada ya mazishi ilifuatana na zoezi la kushuhudia mwili wa Marehemu.
Ma Chalitina Angelo Mshana katika zoezi la kushuhudia mwili wa Marehemu Bi Christina Dionizi.
 Ndg Charles Peter akishudia mwili wa marehemu Bi Christina Dionizi
Baada ya zoezi hili mwili wa marehemu unapelekwa kaburini.

Mwili wa marehemu ukipeleka sehemu ya makaburi iliyopo hapo nyumbani.
Safari ya mwisho ya maisha ya marehemu Bi Christina Dionizi
Jeneza likiingizwa kaburuni.
Mmoja wa watoto wa marehemu akiweka udongo kaburini.
Ndg Datius Muchunguzi ambaye ndiye mtoto wa mwisho wa Marehemu, akishiriki katika maziko.
 Marehemu ameacha watoto saba, ikiwa 6 ni wakiume na mmoja wa Kike pichani akishiriki kuweka udongo katika kaburi la mama yake.
Dada mdogo wa marehemu akiweka udongo kaburini.
Shughuli ya mazishi ikiendelea.
Bi Methodia Lubenge akishiriki kuweka udongo kaburini.
Mama Blandina akiweka udongo kaburini.
 Idadi kubwa ya watu wameweza kushiriki mazishi haya yaliofanyika Dec 24,2013 Kijijini Kishanda.
 Mamia ya watu wameshiriki katika shughuli ya mazishi ya Marehemu Bi Christina Dionizi.
Sehemu ya wafiwa pichani
 Ndg Lusenene na  Ndg Mjumbe sehemu ya wadau waliohudhulia mazishi haya.
 Anaonekana Mzee Tiba katika shughuli ya mazishi haya ya marehemu Bi Christina Dionizi.
Mzee Gulam wa Kishanda pichani kushoto.
Padre akiweka alama ya msalaba Kaburini.
 Katika Utayari wa kuweka mishumaa na maua kaburini
Mr&Mrs wakiweka shada la maua kaburini.
Sehemu ya wafiwa wakiendelea na zoezi la kuweka mashada kaburini.
 Ndugu jamaa na marafiki wakiweka mashada kwa pamoja.
Muonekano wa nyumba ya milele ya Marehemu Bi Christina Dionizi, mwenyezi mungu amulehemu.
Muda mchache kabla ya kuwarudisha wafiwa ndani.
Mungu alitoa na sasa ametwaa jina lake lihimidiwe,Bukobawadau blog tunatoa pole kwa wafiwa  pamoja na jamaa wote. Mungu awape nguvu na kuhimili majaribu katika kipindi hiki.
Anaonekana mdau Wenfurebe pichani.
Matukio na picha zaidi kuhusiana na msiba huu yanapatika kupitia page yetu mpya ya facebook tafuta Bukobawadau Entertainment Media
Next Post Previous Post
Bukobawadau