Bukobawadau

SHUGHULI YA SEND OFF PARTY YA BI KIDEE MTALAJIWA WA MDAU JOHN GONZA

Matukio ya Send off Party ya Bi Kidee, mtoto wa kitanga anaye talajia kufunga ndoa siku ya Jumamosi  mwishoni mwa juma hili na Mdau John Gonza mwana wa Kibeta Bukoba pichani Koshoto.
Hivi ndivyo wawili hawa walivyopendeza.
Hatua moja baada ya nyingine wahusika hawa wakiingia ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee VIP.
Sehemu ya waalikwa ukumbini.
Sio mavazi ya maharusi  pekee pia  mapambo ya ukumbini ni  kigezo kingine  kilichofanikisha kupendeza kwa shughuli ya Bi Kidee na Mdau John Gonza
Neno la shukrani kutoka kwa mhusika Bi Kidee.
Next Post Previous Post
Bukobawadau