TANGAZO LA KIFO CHA MAREHEMU MAMA WINIFRIDA KALEMERA
FAMILIA YA MZEE AUGUSTINE KALEMERA NA
KAMPUNI YA KIROYERA TOURS WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA WINIFRIDA KALEMERA MAMA MZAZI WA MAMA MARY KALIKAWE AMBAYE NI MMOJA WA
WAKURUGENZI WA KIROYERA TOURS,KIFO CHA MAMA WINIFRIDA KALEMELA KIMETOKEA LEO MAJIRA YA SAA 9 MCHANA KATIKA HOSPITAL YA MKOA KAGERA.
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WAFIWA WOTE,TUNATOA POLE KWA MAMA MARY KALIKAWE KUONDOKEWA NA MAMA MZAZI!!!