Bukobawadau

TASWIRA IBADA YA SHUKRANI YA KUMUOMBEA MAREHEMU MZEE DAUDI MBEIKYA BIGILENYEMA ILIYOFANYIKA LEO DEC 28,2013

 Matukio mbalimbali katika Ibada ya Shukrani iliyo andaliwa na familia ya Marehemu Daudi Mbeikya Bigilenyema, Ibada hii imefanyika mchana wa leo Dec 28,2013 Nyumbani kwa Marehemu  Magoti-Kibeta Bukoba.

 Mchungaji aliye ongoza ibada hii , ndiye amekuwa wa kwanza kuweka Shada la maua kwenye katika kaburi la Marehemu Mzee Daudi Mbeikya Bigilenyema
 Mchungaji akiweka shada la maua kaburini
 Heshima ya kuweka Shada katika kaburi la Marehemu Mzee Daudi  Mbeikya Bigilenyema imefanywa na Mjuu wa Marehemu.
Mjukuu wa Marehemu Mzee Daudi Mbeikya Bigilenyema akiweka shada la maua Kaburini.
 Ibada ikiendelea.
 Sehemu ya waalikwa katika Ibada  hii ya shukrani iliyofanyika mchana wa leo nyumbani kwa Marehemu Magoti-Kibeta Bukoba.
Sehemu ya wanakwaya wa Bukoba.

Wajuu wa marehemu katika utaratibu wa kuweka mishumaa  kaburini.
 Picha ya Marehemu Mzee Daudi Mbeikya Bigilenyema.
 Baada ya kuweka maua kwenye Kaburi la Marehemu mzee Daudi , Utaratibu huo umeendelea katika makaburi mengine mawili ya watoto wa Marehemu Daudi Mbeikya.
 Heshima ya kuweka mashada ya maua katika makaburi hayo, imefanya na watoto wa kike wa Marehemu Mzee Daudi Mbeikya Bigilenyema.
 Mmmoja wa Mtoto wa Marehemu mzee Daudi akiweka  Shada la maua kwenye kaburi la ndugu yake.
 Watoto wa marehemu  Mzee Daudi Mbeikya, kulia ni Ndg Johnson Mbeikya
Utaratibu kuweka mashada ya maua kaburini ukiwa umekamilika.
 Sehemu ya wadau walioshiriki katika Ibada hii kwa kuonesha heshima na shukrani kwa kuamini kwamba mambo yote yanayotukuta sisi wanadamu yanapangwa na mwenyezi Mungu.
Ni taswira katika Ibada maalumu ya shukrani iliyo andaliwa na familia ya Marehemu Mzee Daudi Mbeikya Gigilenyema.
Next Post Previous Post
Bukobawadau