Bukobawadau

TASWIRA KIJIJINI GERA-ISHUNJU NA CAMERA YETU LEO DEC 24,2013

 Leo tena katika pitapita za hapa na pale, Camera yetu inakuangazia maeneo ya Gera,pande Kaloleni na Ishunju.
 Muonekano safi wa kijani hapa ni bondeni Kijijini Ishunju
 Sokoni Ishunju, biashara ya 'Bago'ikiendelea 
 Harakati za wadau zikiendelea
 Ishunju moja kati ya maeneo yanayokua kwa kasi.
 Mshikaji na kitu cha bago aka kabalagala mkoni
 Ishunju Center
Ujenzi wa majengo ya kibiashara ukiendelea hapa Ishunju
 Msela akisikilizia kijiweni
 Mdau pichani mara baada ya kusalimiana na mwanalibeneke wenu.
 Vijana wakifanya yao mtaani.
Mdau Rutta Lyabigene, yeye na balagala tu!
Muendelezo wa matukio ya picha kupitia mtandao wako mama wa Bukobawadau Blog.
 Nje ya Studio ya picha.
 Hekaheka za hapa na pale zikiendelea sokoni Ishunju
Camera yetu inakutana na moja ya mabango yalio enea sana mikoani na wilayani  ni'Msafiri Matelephone'.
 Mdau mwenye jina Msafiri Matelephone pichani kushoto akiwa na Bwana Bushira .
Kama ulikuwepo mjini bukoba mnamo miaka ya 80,basi utakuwa unamkumbuka  Dereva tax maarufu kwa miaka hiyo 'Mzee Mashurubu' sasa ni marehemu  basi hapa ndio chimbuko lake na hii ndiyo ilikuwa nyumba yake iliyopo kijijini Gera.
Msikiti wa Kaloleni Kijijini Gera.
 Nyumbani kwa Marehemu Haji Hussein Kichwabuta, kijijini Gera.
Masikani kwa Marehemu Mzee Mulokozi, Babu yake Mdau Ben Mulokozi hapa ni kijijini Gera nyumba hii imejengwa  mwaka 1949 na kukamilika 1959 ikiwa na jumla ya vyumba vya kulala 16.
Barabarani katikati ya kijiji hiki cha Gera.
 Moja ya nyumba ya kihistoria niliyo kutana nayo kijijini Gera, Ni Nyumba ya Marehemu Haji Hemily Kibaizi.
 Haji Hemily Kibaizi ndiye aliyekuwa mtawala wa  pili katika ukanda huu wa Gera baada ya kifo cha 'Chief Lutinwa'

Next Post Previous Post
Bukobawadau