Bukobawadau

TASWIRA UZINDUZI WA ALBUM YA ZAWADI YA KRISSMAS KUTOKA KWA KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA DEC 22,2013 NDANI YA LINAS

 Muonekano wa meza kuu kutoka kushoto ni Mzee Mchuruza, Mzee Philbart Nyerere, Mh. Meya Anathory Amani a Baba Askofu Kilaini.
 Waimbaji wa Kapotive Star Singers-Bukoba wakishambulia jukwaa.
Muimbaji mahiri wa Kapotive Star Singers-Bukoba.
Mzee Nyerere Kushoto, Mh. Meya na Baba Askofu Kilaini pichani.
 Mdau Hope Kasimbazi wa Makoko amenunua CD moja ya uzinduzi kwa thamani ya TSH 100,000.
Wana Kapotive Star Singers  wakimpigia Bi Hope makofi.
Mdau Mama Stella akifuatilia kile kinacho endelea.
 Sehemu ya wadau waliohudhulia uzinduzi huu.
 Kapotive Star Singers-Bukoba wakiwajibika jukwaani.

Taswira mbalimbali ukumbini.
 Mr Mchuruza pichani
Sehemu ya wadau waliojitokeza ukumbuni katika uzinduzi huu.


Next Post Previous Post
Bukobawadau