USIKU WA MWAL.HASSAN K. KURAISH NA BI MARIAM A. KABYEMELA NDANI YA UKUMBI WA LAKE HOTEL IJUMAA DEC 13,2013
Maharusi wetu wakikata Utepe kuingia ukumbini
Mwenyekiti wa Shughuli hii Mzee Faustin Kalugendo akitoa utaratibu kabla ya ufunguzi rasmi.
Dua maalum ya kufungua sherehe hii rasmi.
Shughuli ilikuwa pevu kwa vijana hawa wakati wakifungua njia kwa maharusi
Kundi la wanadada walio watangulia maharusi kuingia ukumbini
Muonekano wa Keki iliyotengenezwa na mtaalam wa fani Mama Simeo.
Maharusi wetu wakiwa tayari kukata Keki.
Hivi ndivyo ukumbi wa Lake Hotel ulivyo ripuka baada ya kitendo cha maharusi kukata Keki.
Matron wa Bi Mariam Kabyemela akikata keki.
Mdau Yunus Kabyemela akitoa utambulisho kwa upande wa ndg na wazazi wa Bi Harusi.
Mzazi/ Baba Mdogo wa Bwana Harusi wetu
Balozi Ngemera akitoa neno kama mzazi wa Bwana Harusi
Anaitwa Subra Kabyemela akitoa neno kwa niaba ya Wazazi wa Bi Harusi
Shughuli hii ilishereheshwa na Mc Jerry, MC mashuhuri kwa Corporate Events\Weddings\Send Off parties na majumuiko mbalimbali yenye hadhi yake,mdau msomaji kama unataka msema chochote mwenye staha, msomi na anayechangamsha shughuli basi wasiliana nasi.
Kama ulikuwa ufahamu huyu ndiye MC Jerry, mmoja wa ma MC mashuhuri na makini wa hapa Bk, kama anavyo onekana akitoa bonge la show wakati wa kuwajibika kwake.
Mc Jerry Mc mwenye uwezo wa kufanya shughuli yako kulingana na matakwa yako
Mama Ibra au Mr Hamza Itembwe akiwaongoza wanachama wake katika kutoa zawadi kwa maharusi.
Zoezi la kutoa zawadi kwa maharusi wetu likiendelea
Burudani ya rusha roho kwa waalikwa na maharusi.
Ni mwendo wa kusebeneka kwa mduara.
Kila mtu na furaha yake, kiroho safi.!!
Kamati ya maandalizi ya sherehe hii ikiwa tayari kutowa zawadi yake
Sehemu ya wanakamati ambayo kwa pamoja imetoa zawadi ya mbando mbili za mabati ya kisasa.
Katika maswala ya location na Camera yetu kuakikisha unapata taswira sahihi.
Mweka hadhina akikabidhi fungu kwa msaidizi wa maharusi wetu hakika kamati imeweza kujipanga vyema
Katika kuwapongeza Maharusi wetu Mwl Hassan K. Kuraish na Bi Mariam A. Kabyemela.
Pichani ni Mr &Mrs Hamza Itembwe wao ndio walezi wa Bwana Harusi, pamoja na mambo mengine wameweza pia kutoa zawadi ya kiwanja chenye thamani ya shilingi milioni 4.
Ikafika wasaa kwa maharusi pamoja na Wageni waalikwa kupata chakula ukumbini.
Huduma safi ya Chakula ikiendelea.
Kitendo cha umakini kutoka kwa Bwana Harusi wetu Mwl. Hassan Kuraish.
Hivi ndivyo wanapendeza wakiwa katika meza moja maharusi wetu
Naam mpaka hapa bukobawadau tunachoweza kusema ni kwamba Hassan Waiyuka!!
Sehemu ya Wazazi wa Bi Harusi wakifurahi na muonekano safi wa Chakula kilicho andaliwa na Mtaalam Mama Shakila.
Mshenga wa yote haya wa pili pichani akiwa ameongozana na wazazi wa Bwana harusi
Sehemu ya wazazi wa Bwana Harusi wakipata Chakula
Zaidi ya Picha 200 za matukio ya harusi hii zinapatika katika ukurasa wetu wa facebook kupitia hapa link hii https://www.facebook.com/Bukobawadau?ref=hl
Mdau Majid akifurahi kile kinachoendelea
Respect kubwa kwa mpambaji wa shughuli hii ambaye ni Mkurugenzi wa Walkgard Hotel Mama Adventina Matungwa maarufu kama mama Walkgard.
Mdau Juvenary.
Mwalimu Juyce Rubose.
Sehemu ya waalikwa ukumbini.
Maharusi wetu wakifutilia kwa umakini show kali inayoendelea kutoka kwa msanii Shemela ambaye ni mdogo wa Bwana Harusi.
Msanii shemela , msanii anayekubali kanda ya ziwa, pichani aking'ani na kipaza sauti.
ZIFUATAZO NI MWENDELEZO WA MCHANGANYIKO WA MATUKIO NA PICHA MBALIMBALI KATIKA HARUSI HII.
Mdau Mohamud Itembwe Mjomba wa Bwana Harusi ambaye pia ndiye mweka hazina wa shughuli hii
Mhusika kamati ya mapokezi.
Yunusu Kabyemela na Mdau Subira Abbakari
Mshenga wa shughuli hii mara baada ya kupokea zawadi yake ya Keki kutoka kwa maharusi
Sehemu ya waalikwa ukumbini
Wapambe wa maharusi katika nyeusi na njano, hakika inapendeza.
Maharusi wetu wakisalimiana na wageni ukumbini, hii ni meza ya wazazi upande wa Bi Mariam.
ENDELEA KUFUTILIA BUKOBAWADAU BLOG KWA HABARI MATUKIO YA KINYUMBANI NA KITAIFA ZAIDI