UZINDUZI WA ALBUM ZAWADI YA CHRISTMAS KUTOKA KWA KAPOTIVE SINGERS- BUKOBA KUFANYIKA 22.12.2013 NDANI YA LINAS NIGHT CLUB
KAPOTIVE SINGERS BUKOBA WANAPENDA
KUKUKARIBISHA WEWE MDAU KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YAO MPYA YA ZAWADI YA
CHRISTMAS, WAKISINDIKIZWA NA UPENDO NKONE MKALI KATIKA NYIMBO ZA INJILI,HII ITAKUA SIKU YA TAR 22/12/2013.NDANI YA UKUMBI WA LINAS
NIGHT CLUB-BUKOBA.
KUANZIA 8 MCHANA -2 USIKU
KUANZIA 8 MCHANA -2 USIKU
PICHANI WAIMBAJI WA KAPOTIVE SINGERS BUKOBA WAKIWAJIBIKA JUKWAANI
VIINGILIO NI KAMA IFUATAVYO :TSH 10,000 MTU MMMOJA
TSH 50,000 WATU 6 HII NI FAMILY TICKET
TSH 5000 KWA WATOTO