AMANI AKANUSHA KUJIUZULU ASEMA KAMA YEYE NI FISADI APELEKWE MAHAKAMANI
Amesema hawezi kujiuzulu.kwakuwa hajafanya kosa lolote na CAG alitoa hati safi kwa manispaa yake 2012/13. Kwanini leo aseme yeye ni fisadi.
Anasema yeye anaendelea kufanya kazi zake kama kawaida akiwa meya halali wa manispaa ya Bukoba.
Mimi sijajiuzulu sikuile baada ya ripoti ya CAG kusomwa mimi niliambiwa niseme neno na naibu waziri nikasimama nikainua mikono juu na kusali Zaburi 23 ninayoifahamu kwa kichwa
Chanzo star tv