Bukobawadau

CAMERA YETU LEO NDANI YA HUSSEIN SHOP

 Camera yetu inakuangazia ndani ya Hussein Shop,Duka lenye kuhudumia kulingana na mahitaji ,lenye bidhaa bora na usafi wa hali ya juu .
Hussein Shop ni duka la reja reja lililopo mjini hapa lenye kutoa huduma kama (super market) lenye bidhaa zenye ubora kulingana na kipato cha kila mtu.
 Kuna bidhaa mbalimbali za vyakula zenye kukidhi afya yako.
 Kwa mahitaji ya usafi wa nyumbani,fika Hussein Shop
Mambo ya usafi wa mwili ,kuna kila bidhaa kwa  ajili ya mwili,bidhaa zenye harufu nzuri na zinaweza kutumika sehemu zote za mwili ata usoni na kulainisha ngozi yako.
Wapo na bidhaa nzuri kwa kulainisha ngozi na kuifanya kuwa nyororo pia zipo bidhaa zenye kuondoa matatizo karibu yote ya ngozi.
 Kuna kila aina ya pafyum zenye hunakshiwa na harufu nzuri ya marashi

Muonekano wa vinywaji vinavyotengenezwa kutokana na matundambalimbali


 Mwanadada ambaye ndiye Shop manager ndani ya Hussein Shop.
Kwa watumiaji wa  body spray,deodorant zisizo na madhala mwilini hapa ndio sehemu yake.

Duka limesheheni kila kitu kulingana na mahitaji yako

Sehemu ya Vitu vya kuchezea watoto kuna wanasesere, magari ya plastiki na kadhalika.
 Wanapatikana Kati ya Barabara ya Arusha na barabara ya Kashai ya zamani.
 Nje ya Soko kuu Mjini hapa, makutano ya barabara ya  Arusha na ile ya Kashai  zamani.
Muonekano wa Barabara ya Arusha jirani kabisa na kwa Mzee Baisi, zilipo ofisi za Kolping Miembeni ndipo wanapo patikana  Hussein Shop.




Next Post Previous Post
Bukobawadau