HAFLA FUPI YA KUWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU DAR LEO JAN 20,2014
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia, kuwa Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
ais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwanga, kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana, kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali wakiwa katika hafla hiyo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri Mbalimbali wapya mara baada ya kuwaapisha kwenye viwanja vya ikulu leo ambapo viongozi mbalimbali wa serikali na waalikwa wamehudhuria na kushuhudia
Picha na OMR.