KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU ATETA NA WATUMISHI WA OFISI YA WAZIRI MKUU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt. Frolence Turuka
akisisitiza jambo wakati akiongea na watumishi wa Ofisi hiyo katika Ukumbi wa
mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es Salaam jana.
Kaimu Mwenyekiti wa TUGHE- Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.
Numpe, akieleza masuala mbalimbali yanayowahusu watumishi wa Ofisi hiyo wakati
wa Mkutano wa Watumishi wa Ofisi hiyo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt.
Frolence Turuka .
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Regina Kikuli
(kulia )akimpongeza Mkurugenzi wa Idara
ya Utawala na Rasilimali Watu- Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Immaculata Ngwalle
(kushoto) kwa kuandaa kikao cha Watumishi wa Ofisi hiyo na Katibu Mkuu.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)