KUMBUKUMBU YA MAREHEMU APPOLINARY RWIHULA JAN 24,1988-2014
Mzee Appolinary Rwihula alifaliki
24/01/1988 na leo tarehe 24/01/2014 anatimiza miaka 26 tangu
atangulie mbele ya haki anakumbukwa na Familia yake mama yake Mzazi Bi Felista
Wiliam mke wake Bi Stivina Rwihula watoto wake Erick Rwihula, Ewald
Rwihula, Marina Rwihula, Blandina Rwihula na Expelansia Rwihula Wajukuu
na wana ukoo wote.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
AMIN...!!