MATUKIO YA PICHA KWA SIKU YA JANA IJUMAA JANUARY 3,2014
Hekaheka za hapa na pale barabara ya Arusha Mjini Bukoba kwa siku ya Ijumaa Jan 3, 2014
Barabara ya Arusha nje ya Soko kuu Mjini hapa.
Container Village
Kushoto ni Ndg Rackson Kahabuga katika pitapita za hapa na pale.
Mitaa ya Kibeta inahusika pichani.
Barabara ya Kibeta Tanesco.
Usawa wa kuelekea Rugambwa Shule ya Sekondari .
Mwana wa Baruti, masikani Mugeza.
Mzee Baruti mwenyewe akiwa maeneo ya Nkango Miembeni Bukoba.
Camera yetu inakutana na Mwanakwetu kijiji kimoja Buganguzi ni Mdau Florence Angelo(Bandali)
Nje ya Club linas Usiku wa Ijumaa Jan 3,2014, Blogger Mc nikiwa na Wadau pichani kutoka kushoto ni Rahym Kabyemela ,katikati ni Jerome Rugemalira
Ndg Rahym na Jerome wakishow love mbele ya Camera yetu.
Kushoto ni Alban Wenfurebe na Mdau J. Kifuba.