MDAU HASSANI BYEYOMBA ASHEREKEA BIRTHDAY YAKE HII LEO JAN 1,2014
Ni baadhi ya picha zikimuonyesha Mdau Hassan Byeyomba Obyemarila akisherekea birthday yake.
Mdau Hassan Byeyombo akionyesha aina ya keki Special kwa ajili ya birthday yake hii leo.
Bukobawadau Blog tunakutakia maisha marefu yenye furaha na mafanikio. .... Happy Birthday Mdau Hassan Byeyombo Obyemarila, Hongera sana super model wa kitaa!!