Bukobawadau

RANGE ROVER EVOQUE NDILO GARI ANALO MILIKI KWA SASA MSANII JUDITH WAMBURA aka BINTI MACHOZI aka ANACONDA!!!

Hili ndilo gari jipya  aina ya RANGE ROVER EVOQUE analo miliki Msanii Judith Wambura aka Lady Jay Dee,aka binti Komando, aka Anaconda,hakika Heshima pesa, shikamoo ni kelele tu !!Hongera  Jide.
Next Post Previous Post
Bukobawadau