SHANGWE ZA MWAKA MPYA!! WELCOME 2014!! NDANI YA MARUKU BEACH JIONI YA LEO!!
Sehemu ya wanakijiji wakishangaa namna watoto wa mjini walivyojitoa fahamu!!
Wadau wakifurahia siku ya mwaka mpya kwa pamoja katika pande za Maruku Beach
Mtiriko wa matukio ya jioni ya leo katika lile Bonge la Beach party lililofanyika katika fukwe za Maruku.
Mtu Mzima Sele Mtanga na Sadath.
Dj Slay kwa Mtambo.
Dj Gody akicheck na Camera yetu.
Wadau wakishow love na Camera yetu.
Taswira mbalimbali ya matukio ya Beach Party iliyofanyika leo Jan 1, 2014 fukweni Maruku.
Shangwe juu ya shangwe.
Mwanadada Rehema Ramadhani.
Anaonekana Bi Adra, Mussa Nassor na Mdau Hamary.
Yupo Katoma Pichani, Moha matelephone na Mkurugenzi wa Oxygen Lounge
Kimjini mjini
Kijana Obrah Karugira na mwenzi wake.
Kama movie vile....
Binti mzanila kwa namna zote hakika kapendeza
Kijana Athman Kaitaba na mwenzake Theo Martin.
Mwanadada Mainda Kassim pichani.
Hii ni mikato tu!!
Wadau uso kwa uso na Camera yetu
Bwana kaka akifanya yaliyo yake.
Sehemu ya vijana wakifurahi mbele ya Camera yetu.
Anaitwa Maua Daftari wa Ramadhani
Wapo pia Bukoba Entetainment Tv maarufu kama Channel 4.
Sehemu ya waandaji wa shangwe hizi pichani
Check madoo walivyo pendeza.
Mchezo wa Pool ukiendelea.
Mambo yanaendelea
Wamjini utawajua tu....!
Check Brother kaka alivyo jiachia fukweni huku akiwa amezungukwa na watoto wakali.
Matukio zaidi na picha za (Hakabi) zipo katika ukurasa wetu wa facebook.
Mdau Kabago akiteta jambo na Gsmart pichani kushoto.
BinTI mZANIRa na Ras Anold Kalikawe
Kila mtu anatamani kuwemo tu!
Jikoni mambo yako hivi
Upande mwingine wanaonekana wanakijiji jirani na eneo hili wakifuatilia kinacho.
Mlangoni Kijana Bwogi akikomaa na mkwanja
Binti Adra.
Wana katika Pozi
Moha Kassim.
Mdau Samola na Mdau Kabago Kyajuga
Oda Man
DJ kutoka Jijini Dar akisababisha.
Katika hili na lile kuhusu Maruku Beach party kupitia Bukobawadau Blog
Habari kubwa mjini hapa kwa siku ya leo ni mambo ya Beach Party, hivi ndivyo wadau walivyojitokeza mpate kipupwe cha Ziwa Victoria kutoka usawa wa Maruku huku wakipata muziki safi chini ya Madj wakali!