Bukobawadau

CHECK TASWIRA MBALIMBALI KWA HISANI YA THE WALKGARD HOTEL BUKOBA JAN 8,2014

Wanaonekana Vijana wa kileo wakiwa wamejipanga tayari kuelekea kula bata kule wanapo kujua wao
Mkusanyiko wa watoto, nje ya mji wa Bukoba siku za mwisho wa juma.
Watoto wakifurahia siku.
 Muonekano sehemu ya wauza matunda na ndizi ndani ya Soko kuu Mjini Bukoba.
 Camera yetu ikiangaza  maeneo ya bucha za nyamba ndani ya Soko kuu Mjini hapa
Ndani ya Soko kuu Mjini Bukoba muonekano wa Bucha za nyama
Mdau Tumusime Bocko akifurahia hali ilivyo ndani ya Soko letu.
 Kwa mwezi  huu hali ya biashara ikiwa inaendelea ndivyo sivyo.
Muonekano wa Soko la ndizi, Jan 8,2014
 Ofisini kwa Mdau Hafidhu Kalugira (Nkurukumbi)
 Ndg Hafidhu akicheck jambo na Mdau Al Amini Abdul.
 Mita ya kati mjini hapa
Usawa wa jengo la Njwelige, katikati ya Mji wa Bukoba, yote hii ni kwa hisani ya The Walkgard Hotel.
Mmoja wa watoto watundu tuliopata kukutana nao ,akicheza na video Camera.
Ikiwa ni mwaka wa nne sasa toka kuanzishwa kwa mtandao wa Bukobawadau, leo ndio tumebahatika kupata picha ya Mdau George Lyakurwa,yeye ni muuzaji na msambazaji maarufu wa pombe ,asiye tumia kilevi cha aina yoyote.
Mwanamama Janath Mussa Kayanda  pichani
Wadau wakicheck na Camera yetu katika moja ya shughuli iliyokutwa ikiendelea ndani ya Kiota cha Walkgard Hotel
Mazingira safi yenye kuvutia ni Walkgard  Hotel Bukoba iliyopo katika kilima cha Kashura barabara ya Maruku.
 Shughuli mbalimbali ufanyika hapa Walkgard Hotel,maswala ya Mapishi, kupamba, utalii hawa jamaa wamejipanga vyema.
Utakuwa upajui Bukoba kama ujafika Walkgard Hotel, umbali wa Km 3 nje ya mji wa Bukoba
Mdau Bi Shofia Hamad
Mohamed Kassim akicheck na Camera yetu
Katika shughuli yupo Mdau Eugen Kabendera na Mdau Optaty Henry.
Siku zote wajanja uchagua, Walkgard ndio sehemu sahihi kwa kilajambo na kila kitu.
 Hivi ndivyo walivyo pendeza Wadau na mashabiki wa libeneke la  Bukobawadau Blog.
 Alipo Bi Sofia siku zote yupo na Bi Shukuru wa Mama Chuni pichani kushoto.
Kama kawaida alipo Mama Rubby ndipo utampa Bi Janath Mussa wa Kayanda.


 Bi Sauda Khalid na mwanae Aisha Khalid.
Brother from another mother, Rahym Kabyemela.
 Omlangira Focas Lutinwa.
 Katika mikakati ni Mdau J  Mgango na mwenzake
Bukobawadau blog tunatambua sana uwepo wa wadau pichani, kutoka kushoto ni Ndg Ashraf Kalumuna,Ndg Shaffi, Mdau Ben Mulokozi (aka appetizer )na Ndg Bushira.
Habari matukio kwa hisani kubwa ya The Walkgard  Hotel iliyobo Kashura barabara ya Maruku pia Transit Hotel the Walkgard iliyopo barabara ya Uganda  zamani ilijulikana kama Walkgard Annex.



Next Post Previous Post
Bukobawadau