Bukobawadau

TASWIRA MAZISHI YA MAREHEMU ZAHORO WASTARA YALIYOFANYIKA KIJIJINI KYAKA HII LEO JAN 12,2014



Mwanzo wa shughuli ya mazishi ya Marehemu  Zahoro Wastara ,aliyetutoka mchana wa jana akiwa na umri wenye kudai bado,kati ya1977-2014,Tunacho weza kusema ni kwamba tunatoa pole kwa wafiwa,ndugu na marafiki.Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un .
Camera yetu ilianza kwa kuwapa pole sehemu ya wafiwa, Pichani ni Mama Mzazi wa Marehemu.
Ndg Mikidad (Sekuye) Wastara , Kaka mkubwa wa Marehemu Zahoro Wastara.
Anaonekana katika simanzi Ndg Yusuph Wastara
Sehemu ya ndugu wa marehemu katika picha,wa mwisho kulia ni Ndg Tamim Wastara,kaka wa marehemu Zahoro Wastara. 
 Mwili wa Marehemu 'Zahoro' ukiswaliwa.
  Ibada ya  ya kuswalia mwili wa marehemu  ikiendelea kufanyika hapo hapo nyumbani kwao Kyaka.
 Umati wa watu ukiwa tayari makaburini hapo nyumbani baada ya Mwili wa  marehemu Zahori Wastara kufikishwa.
 Mama Yusuph Wastara.

 Sehemu ya wanawake waliofika kuwafariji wafiwa

 Upande wa wanawake hali ilikuwa hivi.
 Mazishi yakiendelea ndani ya kaburi.
 Tayari Mwenzetu Marehemu Zahoro Wastara kashazikwa hapo zoezi la kufukia udongo  linaendelea.
 Ndg Majid Kichwabuta na Ndg Rahym Kabyemela.
 Sehemu ya wadau walioshiriki mazishi haya.
Watu mbalimbali wameshiriki katika mazishi haya ya Marehemu Zahoro Wastara.
 Zoezi la kufukia udongo kaburini likiendelea.
  Mamia ya watu walio jitokeza kumsindika Marehemu Zahoro Wastara kwenye nyumba yake ya milele.
 Sheikh akitoa nasaha zake baada ya mazishi.
 Nashuhudia mamia ya watu katika utulivu wakisikiliza nasaha za sheikh.
Wadau  wakisikiliza kwa makini nasaha za sheikh.
Wadau wakisikiliza utaratibu kutoka kwa muongozaji wa shughuli hii.
Mdau Salum akitoa utaratibu juu ya Shughuli ya Hitima hapa hapa baada ya mazishi, kutokana mkusanyiko wa watu wa aina mbalimbali wazee kwa  vijana,hapa anatoa angalizo na kisomo  kikaendeshwa na mashehe nguli baada ya hapo sadaka ikatolewa...
 Utayari baada ya  kisomo cha hitima ... Huu ndio muonekanowa chakula .
 Baada ya kisomo cha hitima  waliohudhuria katika shughuli hiyo wakipata chakula cha mchana.
 Mzee Magimbi akihakiki kila kitu kinaenda sawa katika shughuli hii.
 Hitima kwa ajili ya kumrehemu marehemu Zahoro Wastara, pichani wadau wakiendelea kupana.
Makamuzi ya msosi katika shughuli ya hitima.
 Waungwana baada ya kisomo wakisubiri sadaka
 Ndg Hamis, Ishengoma Bilikwija, Optaty Henry wakibadilishana mawazo baada ya shughuli zote kukamilika.
Mdau wetu pande hizi za Kyaka.

Mdau Kapinga kushoto na Mdau Bashiru Yunusu, kishanda moja hiyo.
 Mkurugenzi Samora akisalimiana na Wadau.
Waungwana uso kwa uso na Camera yetu msibani.
Taswira sehemu ya maegesho.
Next Post Previous Post
Bukobawadau