Bukobawadau

AJALI MBAYA DODOMA ASKARI POLISI WATANO WAFARIKI PAPO HAPO!!

Ajali mbaya ya kusikitisha imetokea usiku huu majira ya sa nane na nusu ambapo gari ya ya polisi iliyokuwa inatoka Dodoma kwenye sherehe ya mapolisi iliyokuwa inafanyika katika ukumbi wa mipango, Gari hiyo ya polisi iliyokuwa imebeba askari POLISI ilikuwa inaelekea Kongwa imegongana na basi ya Mohamedi katika eneo ambalo ni nje kidogo ya mji (Mitumba) ambapo wanawake wawili na wanaume watatu wamefariki papo hapo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau