BALOZI KAMALA AMTEMBELEA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI YA JIMBO LA FLANDERS LA UBELGIJI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi
zawadi Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Jimbo la Flanders la Ubelgiji Mhe.
Kris Peeters. Balozi Kamala amemtembelea Mhe. Kris Peeters leo ofisini
kwake Brussels.
Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) Alhaji
Muhammad Mumuni akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa ACP
jijini Brussels leo ofisini kwake. Balozi Kamala amemaliza ziara ya
kukutana na Watendaji Wakuu wa Sekretarieti ya ACP.