BALOZI KAMALA ATEMBELEA BANDA LA BIASHARA LA KAMPUNI YA PRIVATE SAFARIS INAYOTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA
Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific Dr.
Diodorus Buberwa Kamala akimsikiliza Bi. Delphine Coussie wa Kampuni ya
Private Saris inayoshiriki Maonyesho ya Utalii Brussels. Kampuni hiyo
inatangaza pia vivutio vya utalii vya Tanzania. Balozi Kamala
ameishukuru kampuni hiyo na ameiomba iendelee Kuitangaza Tanzania