Bukobawadau

CAMERA YETU MTAANI LEO JUMANNE FEB 18,2014

 Camera yetu katika hekaheka za hapa na pale, inakutana na Kijana Yusuph Wastara (katikati)akiwa katika moja ya harakati zake.
 Taswira  ilivyo katika maisha yetu ya kila siku.
Mdau Valerian Rugalabamu, Mkurugenzi Vision Fm Radio Bukoba,Ambaye kaweka wazi kuwa yeye ni M4C  wakati akicheck na Camera yetu mtaani leo Feb 18,2014.
 Vijana pichani wakicheck na Camera yetu, kushoto ni Mdau Albin Muhazi na Kijana Alanus Cleophace Kashalaba.
.
Next Post Previous Post
Bukobawadau