CHECK OUT VIDEO SHUHUDA WA KWANZA KABISA AJALI YA RWAMISHENYE BUKOBA LEO FEB 2,2014
Shuhuda wa kwanza wa tukio hili ambaye ndiye Dreva wa Gari aina Seme pichani hapo juu lenye nambari AAM 1165 T ameileza Bukobawadau Blog kuwa Gari hilo lililokuwa likiendeshwa na Mwenzake ,aliliona lori hilo likimfuata kwa kasi huku likiwa limepoteza mwelekeo ndipo akajaribu kuegesha pembeni,ambapo liligonga Gari lake kwa nyuma na kufanyikiwa kupungua kasi kidogo,na wenzake wakapata fursa ya kujiokoa kwa kuruka nje.
Shuhuda anasema; Gari hilo limeendelea kwa mwendo wa kasi mpaka bondeni ,kikubwa kwake anamshukuru Mungu kwani mpaka sasa wenzake wanaendelea vizuri na matibabu katika hospitali ya Mkoa.
Shuhuda anasema; Gari hilo limeendelea kwa mwendo wa kasi mpaka bondeni ,kikubwa kwake anamshukuru Mungu kwani mpaka sasa wenzake wanaendelea vizuri na matibabu katika hospitali ya Mkoa.