Bukobawadau

HARUSI YA AINA YAKE 2014 YAFANYIKA NDANI YA NEW COFFEE TREE HOTEL BUKOBA FEB 9, 2014

 Maharusi wetu Bw. Mudy Ali na Bi Shadia Nizar Jaffari wakiingia ndani ya ukumbi wa New Coffee Tree Hotel, mchana wa leo Jumapili Feb 9,2014.
Ni harusi yenye muonekano wa Kidini kwa namna Maharusi walivyo jiremba au kujiweka katika hali ya usafi ...
 Mshehereshaji wa shughuli hii (MC Mwarabu) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli hii.
 Moja kati ya Swagar za MC maalumu ambaye aliandaliwa kwa ajiri ya kundesha shughuli hii na kufanya ionekane ya kipekee kabisa kwa muonekano na kimpangilio.mbwembwe nyingi na maneno
 Bwn. na Bi Harusi wakiwa kwenye hisia kali za wapendanao kwenye sherehe ya harusi yao
 Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria harusi ya Bwana  Mudy Ali na Bi Shadia Nizar Jaffari
 Sehemu wa Wageni upande wa Bibi harusi.
 Mpambe wa Bwana Harusi akipata msosi.
Bibi harusi na mpambe wake wakipa huduma ya chakula.
Bwana Harusi akipata huduma ya Chakula,Utapata kusikia  maneno na kuona Mbwembwe za Mc (Mwarabu)kupitia video ya harusi hii, iliyopo hapo juu  mwanzoni mwa ukurasa wetu.
Wageni waalikwa wakipata fursa ya Chakula.
 Waalikwa wakiwa hawana mbavu kwa vicheko kufuatia uendeshaji shughuli wa Mc  kwa 'mikata' na mbwembwe hatari
 Sehemu ya Wageni waalikwa waliokuwepo kwenye sherehe.
 Taswira  kamili ukumbini.
 Mpango mzima wa harusi hii ni kuanzia ukimya wa mezani, ukumbi kuchukuchu bila mapambo,huduma safi ya chakula na pozi za Mc.
 KAMA UKUPATA BAHATI YA KUIONA HARUSI YA MWAKA 2014 HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KUWA NDANI YA UKUMBI WA NEW COFFEE TREE HOTEL MCHANA WA LEO JUMAPILI FEB 9,2014




Next Post Previous Post
Bukobawadau