KAMPUNI YA UTALII YA BEL AFRIKA YA UBELGJI YATANGAZA VYEMA TANZANIA BRUSSELS
Bi. Laurence Joiris wa kampuni ya Bel Afrika ya Ubelgiji akinadi vivutio
vya utalii vya Tanzania katika Maonesho ya Utalii yanayoendelea
Brussels.
Dr. Remo wa Ubelgiji akifurahia kahawa ya Tanzania katika banda la Tanzania la Maonesho ya Utalii yanayoendelea jijini Brussels.
Bwana Damian George Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Utalii ya African Breakaway Safaris akinadi vivutio vya utalii vya Tanzania katika Maonesho ya Utalii yanayoendelea jijini Brussels.