KATIKA PICHA AJALI YA MIKESE ILIYOPELEA KIFO CHA MDAU UMUDI KALAMULAHI LEO FEB 23,2014
Ajali mbaya ya magari mawili yaliyogongana uso kwa uso katika eneo la mikese Morogoro na kupelekea kifo cha dreva mmoja ,Marehemu Ubuhi Kalamulahi wa Ilogelo Kamachumu,Moja ya gari hilo likiwa Lori la mafuta kama inavyo onekana pichani hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi wakati magari yakiteketea.
Mlipuko mkubwa wa matanki ya mafuta.
Askari wa kikosi cha zima moto wakijaribu kuuzima moto huo.