Bukobawadau

MATUKIO YA MTAANI LEO JUMATANO FEB 5.2014,MWENDESHA BAISKERI ANUSURIKA KUFA

Ajali ya kijana Mwendesha Baiskeri isiyo ya abiria, ambaye hakujulikana mara moja jina lake, amenusurika kifo baada ya  kujigonga mbele ya gari  usoaliyekuwa anaendesha baiskeri akitokea N.H.C Kashai kuelekea Kashai Sokoni.
Hali ya Kijana akiwa kajigalagaza chini baada kunusurika katika ajali akitokea mitaa ya N.H.C Kashai kuelekea Kashai Sokoni. Tukio hili limetokea maeneo ya kwa Mzee Mutta majira ya saa 12 jioni.
Hii ndiyo Baiskeri aliyokuwa akiendesha huyo Kijana.
Wasamalia wema
Dreva wa gari akimueleza kijana kwamba  asiwe na wasiwasi juu yake  kwani lengo lake sio kumfunga kamba bali ni kumpatia huduma ya kwanza.
Barabara kuelekea Kashai .
 Kijana akipewa huduma ya kwanza .

Gari alilojigonga kijana wa Baiskeri lanye nambari T652 AMA.
Gari hili limetambulika kama mali ya shirika la Msalaba Mwekundu.
 Jioni ya leo nimeweza kufika hospitali kumjulia  hali kijana Mwenzetu Al Amini Abdul Amini Birunduru, ambapo amelazwa, Wadau tumuombee apone haraka.
Mdau Al Amini amelazwa katika hospitali ya E. L.C.T   zamani kwa 'Bugimbi' akiwa anasumbuliwa na Marelia.Timu nzima ya Bukobawadau Blog tunamuombea Kijana mwezetu ili aweze kupata unafuu mapema.
Next Post Previous Post
Bukobawadau