Bukobawadau

NYAKIBIMBILI, KITAHYA,KANAZI ,KATERERO ,KYAKA NA CAMERA YETU FEB 25,2014

Katikati ya daraja la Kalebe-Nyakibimbili ndani ya Wilaya ya Bukoba Vijijini linalotegemwa kwa wananchi wa Vijiji vya Izimbya. Rubale. Katoro, Kaibanja,Mugajwale na Katerero Kemondo.
 Daraja la Kalebe Nyakibimbili kuelekea vijiji vya Ibwera na Buterankuzi na maeneo mengineyo
Kingo za mto Ngono usawa wa daraja la Kalebe.
Mdau Alanus Cleophace Kashalaba.
 Mzee Muzo akijaribu kutolea jambo ufafanuzi kwa Mdau Flenk.
 Ndani ya kijiji cha nyakibimbili.
   Kilabu ya pombe za kienyeji  na mghahawa.

Kama kawaida vijijini , hili ni moja ya duka  ambalo huuza bidhaa zote tofauti na mjini ambako bidhaa hutenganishwa kulingana na aina ya duka.
Ndani ya Kijiji cha Kyaka Wilayani Missenyi
Sehemu ya wanakijiji wakifua nguo katika bonde la  mto Kagera.
Muonekano wa Maji ya mto Kagera yanayotumiwa na Wananchi kwa kufulia  nguo na wengine kuchota kwa ajili ya matumizi ya nyumbani
 Mbele ya macho ya Camera yetu baada ya zoezi la kufua nguo.


 Muonekano wa daraja  la Mto Kagera
 Hili ndiyo Kanisa Katoliki la Kyaka lililoshambuliwa na majeshi ya Nduli Idd Amin Dada, kwa sasa yamebaki magofu tu na ni historia.
 Barabara ya Kyaka kueleka  Karagwe.
 Bango la shule ya Sekondari Kashozi.
 Ofisi ya World Vision  iliyopo Kanazi
 Sehemu ya Utekelezaji wa mradi wa  barabara ndani ya miaka 50 ,Ni mwendo wa rami kutoka bukoba mjini mpaka kijiji cha Kanazi
 Kanisa la TAG lililopo kijijini hapa.
 Bango la Shule ya Msingi Katerero Wilaya ya Bukoba Vijijini
 Picha ya wadau mbele ya Bango la shule.
Tukiangaza huku na kule maeneo ya Kanazi.
Bisimilah ndani ya mji wa Katoro.




Next Post Previous Post
Bukobawadau