OFISI YA WAZIRI MKUU YAFANYA ZOEZI LA KUJIANDAA NA MAAFA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa
Bi. Rose Shelukindo akisisitiza umuhimu wa zoezi la Kujiandaa na Maafa
yanayofanyika mjini Bagamoyo.
Baadhi ya Washiriki wa zoezi la Kujiandaa na Maafa wakifuatilia maelezo ya Mpango wa kujiandaa na
Maafa yanayofanyika mjini Bagamoyo kutoka kushoto ni John Jordan Mratibu i
mradi CDHAM , Mhandisi. Fanuel Kalugendo-Ofisi ya Waziri Mkuu na Faith Cooper
Mratibu Mradi CDHAM.
Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Lut Jen (Mst) Sylivester Rioba (katikati), Mkurugenzi
Msaidizi (Operasheni) Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Nyancheghe
Nanai (kushoto) na Mkurugenzi wa Masuala
ya Afya USAFRICOM wakiwa pamoja
mara baada ya Uzinduzi wa zoezi la kujiandaa na maafa.
Washiriki kutoka
Tanzania, Marekani, Kenya, Nigeria,Ghana na Uganda wakiwa pamoja baada ya
Uzinduzi wa zoezi la Kujiandaa na Maafa yanayofanyika kuanzia tarehe 3-7
Februari 2014 Mjini Bagamoyo, Zoezi hilo limeandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu
kwa kushirikiana na USAFRICOM na CDHAM. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)