USIKU WA WILLBROAD MTAFUNGWA NA JUSTINA RWECHUNGURA NDANI YA KIOTA CHA LINAS NIGHT CLUB BUKOBA
Maharusi wetu Bwana Willbroad Mtafungwa na Bibi Justina Rwechungura wakiwa wamesimama muda mchache baada ya kuingia ndani ya ukumbi wa Linas Night Club.
Ndani ya Ukumbi wa Linas Club Bukoba ndivyo wanavyo onekana Bwana Willibroad Mtafungwa na Bi Justina Rwechungura baada ya ndoa yao takatifu iliyofanyika Kijijini Kyaka siku ya Jumamosi Feb 22,2014 na kuendelea na hafla ya mchana nyumbani kwa Bwana Harusi Kijijini Bwoki- Bugandika.
Kwa bashasha na tabasamu pana anaonekana Bwana harusi akimsaidia ua la Mkononi mke wake Bi Justina Rwechungura.
Hakika wamependeza maharusi hawa kama wanavyo onekana wakiwa wamekiti kwenye meza kuu.
Muonekano wa kitu keki.
Tukio la kukata keki
Moja ya tukio maalumu ikiwa ni siku maalumu ya harusi ya wawili hawa.
Utaratibu mzima wa kulishana keki ulikuwa hivi.
Bwana harusi akifanya kumlisha keki bibi harusi.
Muonekano wa meza ya wazazi wa Bwana Harusi
Mwanadada akifuatilia kwa chati kile kinacho endelea ndani ya ukumbi wa Linas.
Mdau Muzo akipokea zawadi ya Keki kwa niaba ya Ndg Ben Kataruga na Mdau Justuce Lugahibura ambao pia ni marafiki wa Bwana harusi, Bwana Willbroad Mtafungwa.
Mdogo wa Bi harusi pichani kulia ambaye leo ni siku yake ya kuzaliwa hivyo amepata fursa ya kuzawadiwa Keki Maalumu kwa ajili ya kufurahia kuzaliwa kwake.
Kushoto ni Dada mdogo wa Bi Harusi ,kulia ni Bi Gift Mwaipopo rafiki mkubwa wa familia.
Katika pozi mbele ya Camera yetu.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya Harusi Ndg Cathbert Basibila
Sehemu ya wanakamati wamaandalizi wa shughuli hii kulia ni Mdau Masoud Kamala Kalumuna.
Ndugu Shaffi mwenyekiti wa Kamati ya Burudani.
Mshereheshaji wa shughuli hii Mc Double kutoka Jijini Dar es Salaa.
Kaka wa Bibi Harusi akitoa neno kwa niaba ya familia.
Ni wasaa wa wageni kupata mulo.
Wageni waalikwa wakipata huduma ya chakula.
Huduma ya chakula ikiendelea.
Huduma ya kupata msosi inaendelea
Namwona Mama January Makamba pichani kulia akiendelaa kupata chakula
Taswira ukumbini wakati waalikwa wakipa msosi.
Bwana na Bibi Willbroad Mtafungwa wakilishana chakula.
Bibi Harusi akitoa zawadi kwa mama Mkwe wake, Ma' Christina.
Bi Gift Mwaipopo katika picha ya pamoja na Mr &Mrs Willbroad Mtafungwa.
Hatua moja baada ya nyingine kuelekea katika meza yake.
Wanawaka waka, Wanamyehisa maharusi wetu.
Pongezi kutoka kwa marafiki wa familia.
Mwanadada aliyebahatika kudaka ua lililorushwa na Bibi Harusi
Bwana Willbroad Mtasingwa na mke wake wakiwaaga ndugu, jamaa na marafiki ukumbini
Maharusi wakiendelea kupunga mikono wakati wakiondoka ukumbini.
Wadogo zake na Bi harusi wakifurahia harusi ya dada yao wakati anaondoka ukumbini
MATUKIO YA SHUGHULI YA NDOA NA HAFLA ILIYOFANYIKA KIJIJINI BUGANDIKA- BWOGI INAPATIKA CHINI SEHEMU YA MWISHO CHINI YA HABARI HII AU INGIA OLDER POST.