Bukobawadau

YALIYOJILI OBAMA ALIPOKUTANA NA KAKA YAKE (OBAMA REUNITES WITH LONG -LOST BROTHER )

 Utapa kuona Video ambayo haijawahi kuonekana kabla, ikijaribu kuonyesha kitendo kimoja cha kushangaza kidogo,  ni pale ambapo Rais wa Marekani Barack Obama na kaka yake wa Baba mmoja Mark Obama Ndesandjo walipokutana kwa mara ya kwanza ikiwa ni baada ya miaka 20.
Hii inakuwa ni mara ya pili kwa ndugu  hawa wanashea Baba mmoja kukutana ,na ilikuja kutangazwa mwaka 2008 dakika chache katika  mchakato wa Urais wakati  OBAMA anajiandaa kwa ajili ya kipindi cha televisheni kwa mjadala na Hilary Clinton.
BUKOBAWADAU BLOG TUNAKUPA FURSA YA CHECK VIDEO HAPA CHINI  IKIWA LEO NI SIKU YA 5 TOKA IMETOLEWA

Sio kawaida kwa  Mark Obama Ndesandjo kujionyesha kama kaka mdogo wa Rais Obama,Kwa sasa ameamua kuachia kitabu cha maisha yake ambapo ndani yake amezungumzia juu ambacho wengi walikuwa hawakifahamu kuhusu mahusiano yake na mmoja kati ya watu wenye nguvu zaidi duniani.
Wahaya tunasema ' Onage Bandonde '!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau