MANCHESTER UNITED 0-3 MANCHESTER CITY
MANCHESTER UNITED 0-3 MANCHESTER CITY shughuli ilikuwa pevu usiku wa leo kufuata kazi kubwa ya mshambuliaji mwenye sifa ya kupenda safari Edin Džeko,endelea kufuatilia kilio cha manchester United katika picha na kipande cha Video mwisho wa habari hii.
Hekaheka za Edin Džeko na wenzake wakionyesha makali yao
Edin Džeko na wachezaji wenzake wa Manchester City wakishangilia bao la kwanza lililopatikano mapema kabisa mnamo sekunde ya 43
Mtiti uwanjani kama anavyo onekana Vincent Kompany wa Manchester City ,Phil Jones na Danny Welbeck wa Manchester United katika picha.
Mchezaji Edin Džeko anaipatia Manchester City bao la pili dhidi ya Manchester United
Dzeko akishangilia bao alilofungwa na magoli l0 katika ligi kwa msimu huu
Nje ya mipaka ya Uwanja anaonekana Rafael da Silva akiwa ameshika kichwa chake baada ya kuseleleka na kujigonga kwenye lami
Mchezaji wa Manchester United Juan Mata akijaribu langoni mwa Manchester City ni shuti kali lililozuiwa na Pablo Zabaleta
Majuto ni mjukuu ndivyo wanavyo onekana wakiwa na Nyuso za mashaka,hofu na wasiwasi pichani ni Meneja wa Manchester United David Moyes (kushoto) pamoja na msaidizi wake Phil Neville
Bosi wa Manchester United David Moyes akitoa maelekezo butu kwa beki Rio Ferdinand
Check Video ya goli la pili