MWILI WA MAREHEMU MKUU WA MKOA WA MARA UKISAFIRISHWA KUELEKEA DODOMA.
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa ukibebwa na Askarimara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege Jijini Mwanza leo Machi 27,2014
Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa ukiwa umebebwa na Askari, tayari kupakiwa kwenye ndege tayari kwa safarikuelekea Dodoma.
Askari wakiwa wamebeba Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa.
Ndege Maalum iliyosafirisha Mwili wa Marehemu John Tupa.
Mwili wa Marehemu John Tupa ukipakiwa kwenye Ndege.
Rubani wa Ndege akiondoa kigingi.
Taswira zoezi la kuupakia mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,katika uwanja wa ndege Jijini Mwanza kwa ajili ya safari ya kuelekea Dodoma.
Ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa jijini Mwanza, Rubani akichukua udhibiti wa ndege hiyo kwa kufunga mlango.
Ndege ikiwa tayari kwa Safari ya kuelekea Dodoma.
Askari wakiwa wamebeba Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege Dodoma leo machi 27,2014. Marehemu ataagwa kesho kwenye viwanja vya Nyerere Dodoma machi 28,2014 kabla ya kusafirishwa kwenda kilosa kwa mazishi.