PATA KUMSIKILIZA MSANII LIL-ASHY/YOUNG ASHRAAF KUPITIA 88.5 KASIBANTE FM RADIO
Siku ya Jumatatu Marchi 10,2014 msanii WETU hapa Nyumbani Bukoba mkali
Lil-Ashy ama Young Ashraaf atakuwa 88.5 KASIBANTE FM RADIO kwenye THE
SCORE kwa interview na kupresent wimbo wake mpya unaoitwa UJIO
WANGU!Siku hiyo tunatarajia kusikia na kujua mengi kutoka kwake chini ya DJ slaY ,Hii Ni noumah!kuanzia saa 8 mchana hadi 10 Jioni.Binafsi Niko na mengi ya kumuuliza ila hata wewe ukiwa na lolote mcheki kwa namba zake+255652489500
DON'T MISS!!!