PICHA YETU LEO ALHAMIS MARCHI 27,2014
PICHANI:
Rais Uhuru Kenyatta na Naibu wake William Ruto walisimamisha msafara
wao na kula chakula chini ya mti baada ya kutoka kwenye kikao jijini
Arusha Tanzania. Viongozi hawa walitumia usafiri wa gari kutoka Kenya
hadi Arusha na kurudi, siku chache tu baada ya kutangaza kufuta safari
zisizo na lazima kwenda nje nchi kwa viongozi nchini Kenya.
Credits: Mbeya FM Radio Via Jukwaa Huru Media.
Credits: Mbeya FM Radio Via Jukwaa Huru Media.