Bukobawadau

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU BALOZI FULGENCE KAZAURA JIONI YA LEO MARCH 1,2014 KIJIJINI IGURUGABI-BUGANDIKA

Ibada ya Mazishi ya marehemu Marehemu Balozi Fulgence Kazaura imeongoza na Mhashamu Methodius Kilaini
 Baba Askofu Kilaini ,Askofu msaidizi wa Jimbo katoliki la Bukoba akisimika Msalaba kwenye Kaburi la Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
 Mara baada ya kusimika Msalab, kinacho endelea ni utaratibu wa kuweka mashada.


Ndugu wa familia na viongozi wa dini ndio waliotangulia kuweka mashada ya maua kaburini
Rais Jakaya Kikwete pichani katika akishiriki katika Mazishi ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura yaliyofanyika jioni ya leo Jumamosi Marchi 1,2014 kijijini
Mh Rais Kikwete akielekea kaburini kuweka shada la maua.
Mh. Rais Kikwete akiwa na shada la maua mkononi
 Taswira Kamili wakati shughuli ya mazishi ikiendelea.
Anaonekana Mdau Cathbert Basibila
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Balozi Fulgence Kazaura
Mama Anna Tibaijuka.
 Mama Anna Tibaijuka waziri wa ardhi, nyumba na makazi akiweka shada la maua juu ya kaburi
 Utaratibu wa kuweka mashada ya maua katika kaburi la Marehemu Balozi Fulgence Kazaura ukiendelea.
Mdau George katika huzuni wa kuondokewa na Baba yake Mdogo.
 Anaoneka Mdau Cathbert Basibila katikati.
 Ndugu wa familia, wana ukoo na Viongozi wa Serikali na dini waliendelea na utaratibu wa kuweka mashada kwenye kaburi ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
Viongozi wa kidini.
 Mh. Rais Kikwete akiagana na watu waliofika msibani hapa.
Rais Kikwete akiongea na mmoja wa wanafamilia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.

Sehemu ya maegesho.
Wanakijiji Wa Igurugati kata ya Bugandika tarafa ya Kiziba wilaya ya Missenyi wakimpungia mikono ya kwa heri Mh. Rais Kikwete.




 Hivi ndivyo Rais Kikwete alivyoshiriki Mazishi ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
 Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta na Mdogo wake Kamama wameweza kushiriki mazishi haya.
Hawa ni wadau kutoka pande za Mutukula , kulia kabisa ni Ndg Charles Lutinwa.


 Camera yetu iliweza kupata fursa kutoa pole kwa familia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura.
 Sehemu ya familia ya Marehemu Balozi Fulgence Kazaura mbele ya Camera yetu.
MATUKIO ZAIDI NA MAELEZO TUNAENDELEA  BADAE....

Next Post Previous Post
Bukobawadau