TAARIFA YA KIFO CHA OMWANA GAUDENCIA RUGANGILA WA KIJIJINI RUZINGA
Omulangira Ben Kataruga wa Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha Bibi yake, Omwana Gaudencia Rugangila, kilichotokea usiku wa Jumatatu Marchi 10,2014.huko Shinyanga Habari ziwafikie viongozi wa kiroho , Ndugu jamaa na marafiki.Mazishi yatafanyika siku ya Alhamisi Marchi 13,2014 Nyumbani kwa Marehemu Kijijini Ruzinga,tarafa ya Kiziba wilayani Missenyi,Bwana ametoa, Bwana Ametwaa, Jina lake lihimidiwe Amen!
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WANAFAMILIA WOTE, APUMZIKE KWA AMANI OMWANA GAUDENCIA RUGANGILA!!!