DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU MZEE ABDALLAH NZOMUKUNDA NYUMBANA KWA MWANAE BI AMINA ABDALLAH (NASHY)
Taswira katika shughuli ya kumuombea dua Marehemu Mzee Abdallah Nzomukunda, iliyofanyika nyumbani kwa mwanae Binti Amina Abdalla ( Nashy|)huko Kurasini jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya ndugu na jamaa katika dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abdallah Nzomkunda.
Masheikh wakiendelea na dua na kutia ubani katika moto ndani ya cketezo.
Wadau waliokusanyika nyumbani kwa Bi Amina wakiendelea kupata chakula baada ya Dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abdallah Nzomkunda.
Bi Amina Abdallah Nzomukunda pichani kushoto, kulia ni rafiki yake Bi Anita Kajumbula.
Huduma ya chakula ikiendelea baada ya Dua kusomwa nyumbani kwa Mtoto wa marehemu Abdallah Nzomukunda
Sehemu ya jamaa waliofika katika shughuli hii.
Utaratibu wa chakula ukiendelea anaonekana Bi Faima akiwajibika.
Sharifa Yahya Binti Majengo akishirikiana kugawa chakula na mwenzake Bi Harieth.
Mwanadada Sarah Said akiwajibika na mapishi.
Mdau Sima akipata msosi.
Wakipata msosi anaonekana Mdau Sharifa yahya pichani kushoto, Bi Happy Kasimbazi na mwanadada Sarah Meena.
Sehemu ya wadau waliohudhuria shughuli hii ya dua ya Kumuombea Marehemu Mzee wa Abdallah Nzomukunda,iliyofanyika nyumbani kwa mwanae Amina Abdallah( Nashy) Kurasini jijini Dar es Salaam.
Bukobawadau Blog tunamuomba mwenyezi mungu amurehemu Mzee Abdallah Nzomukunda pia Mwenyezi mungu aendeleae kuwapa subra familia yake!!