TASWIRA WAKATI WENGER AKITIMIZA MECHI YA 1,000 KWA KICHAPO NA MAUMIVU KUTOKA KWA CHELSEA
Mchezo wa 1,000 wa kocha Arsene Wenger
umeisha kwa kipigo cha 6-0 kutoka Chelsea. Ushindi huo umemfanya Jose
Mourinho aendelee kumtambia Wenger huku akiimarisha rekodi yake ya
kutopoteza mechi katika dimba la Stamford Bridge katika mechi 76.
Damu kwanza:Mchezaji Mnyaluganda Samuel Eto'o akishangilia a bao lake la kwanza,mwanzoni kabisa mwa mchezo huo.
Mtikisiko Jahazi la Arsenal likiwa linaanza kuzama
Wahaya wanasema 'Ebilo tibingana'kuna wakati ofisi unatamani kuikimbia.
Mchezaji Olivier Giroud wa Arsenal na David Luiz wa Chelsea wakiwania mpira
Full furaha kwa wachezaji wa Chelsea kama inavyo onekana pichani.
Hii ni moja kati ya picha yenye mshtuko wa nafsi kwa wachezaji wa Arsenal.
Sio mimi, ref! ndivyo anavyo onekana Mchezaji Kieran Gibbs katika kujitetea.
Mashabiki wa Chelsea wakimpungia mikono ya kwaheri Mchezaji wa Arsanal Gibbs.
Penati iliyopigwa na Mchezaji Eden Hazard ,mikato hii inanikumbucha kiungo wa Kashai Mac Juve.
Vita Uwanjani kati Nemanja Matic na Tomas Rosicky jitihada kila mtu na mtu,
Samuel Eto'o akitolewa uwanjani kwa ajili ya matibabu baada ya kusumbuliwa na misuli
Mwamuzi Andre Marriner anatoa kadi nyekundi kwa Kieran Gibbs,lakini kwa uhalisia kadi hiyo alistahili Mchezaji Alex Oxlade-Chamberlain.
Mohamed Salah akifurahia bao.
Fursa hii inamladhimu mtu kukaa....
Mabadiliko ya dharura wakati anaingia Mchezaji Thomas Vermaelen wa Arsenal kuchukua nafasi ya Lukas Podolski.
Ushindi wa 6-0 ndio mkubwa kabisa kwa Jose Mourinho tangu alipolejea katika ligi kuu ya England.
Heshima kubwa kwa mashabiki wa Uwanja wa nyumbani.
Chelsea wanapata bao la nne,hivi ndivyo alivyo onekana Mchezaji Oscar katika furaha yake,shabiki mahiri wa Chelsea ndugu Justuce Lugaibula anasema huyu ndiye mchezaji anayeongoza kwa tacklesnyingi uwanjani na ndiye Mchezaji machachali kuliko wachaezaji wenye umri mdogo kama wake.
No pain, no gain, Arsene
'Emyechocho' swagar na mbwembewe ni kingine cha ziada alicho nacho kocha Jose Mourinho
Ata wewe ungekuwa beki uwezi kuamini kinacho endelea, Pole Sana Kaka Mkuu E. Nyambo,pole Sana Ndg zangu Ben Kataruga na Rama Msangi,hongera kubwa kwa Bi Mainda Kassim na Mdau Shamsu Bwikizo.

Happy anniversary, Arsene Wenger..!