VIDEO/PICHA YALIYOJILI NDANI YA MAISHA CLUB KWA JUMA HILI (MAMBO YA KIBAO KATA)
Kila siku ya jumatano New maisha club imekuwa na utaratibu mpya kabisa
waburudani ya kipekee kabisa, baada ya ile ya xtreme deejazy yakupiga
disco na drums ambayo ndio burudani namba moja kwa sasa tanzania, sasa
inakuletea bunyero bunyero za kibao kata kiukweli hii ndio club pekee
inayofanya mabadiliko ya club na hata burudani zake kila mwaka.aidia hii
ya kibao kata walioipa jina ya bunyero bunyero za kibao kata imekuwa na
wapenzi wengi sana na imekubalika kwa haraka sana hivyo mpaka baadhi ya
sehemu zingine za kumbi za burudani nao kuonekana kuanza kuiga kutaka
na kufanya kitu kama icho
check video hapa chini.
watu wakijidabua kwenye kibao kata
Shughuli ilikuwa noma sana kwakweli usikose jumatano hii.
Mwanadada Boke akifatilia kwa makini kibao kata.
TEAM CRAYZE nao walikuwepo full kujidabua
Mwanzo mwisho ,kwa siku nzima ni muziki wa taarabu,mduara,arabik na miziki ya kimwambao tu
Rihama ally nae alikuwepo pia alitoa yake ya moyoni kuhusu wote wanaodhania kwamba kibao kata ni uhuni, aliwapa ukweli na kuwaambia kuwa huu ndo mziki wetu na kiuno ndio hasili yetu,wacheni tukatikee
Credit kwao uongozi wa new maisha club kwa kubuni vitu vya kwetukwetu.
Mchina aliyejulikana kwa jina moja la dong akijidapua na kabinti special kwenye kibao kata......