Watch "VIDEO PART 1, UTEKAJI, UTESAJI, UNYAMA ULIOFANYIKA UCHAGUZI MDOGO KALENGA"
Hii ni sehemu ndogo (sample) ya ushuhuda wa matukio ya ukatili, unyama
na utwezaji wa uhai, maisha, utu na haki za binadamu waliyofanyiwa
mawakala wa CHADEMA, katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, hasa
siku ya kupiga kura, Jumapili ya Machi 16, 2014.
CHANZO:CHADEMA Kurugenzihabari
CHANZO:CHADEMA Kurugenzihabari