Bukobawadau

BALOZI WA BURUNDI UBELGIJI AIPONGEZA TANZANIA

Balozi wa Burundi Ubelgiji Mhe. Felix Ndayisenga akizungumza na Watanzania  waliokutana nyumbani kwa Balozi wa Tanzania Ubelgiji kusherekea miaka hamsini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
. Balozi Ndayisenga alisema kwamba Tanzania ni mfano wa kuigwa barani Afrika na Duniani kwa kuweza kuanzisha, kulinda na kudumisha Muungano.
 Sehemu ya washiriki wa tafrija ya kusherekea miaka hamsini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Balozi wa Tanzania nchi ubelgiji Dr Diodorus kamalaa akimkaribisha Balozi wa Burundi Ubelgiji Mhe. Felix Ndayisenga
 Watanzania walioshiriki tafrija ya kusherekea miaka hamsini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Mmoja wa Tanzania aliyeshiriki katika  na watanzania wenzake kusherekea miaka hamsini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Next Post Previous Post
Bukobawadau