BENDI YA KIJANJA SKYLIGHT YAZIDI KUPAGAWISHA MASHABIKI WAKE THAI VILLAGE
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Madiva wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige).
Birthday Girl mdau wa Skylight Band Loveness akihamaki alipokuwa akiimbiwa wimbo maalum na Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita alipoadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
Aaaaah imagine sauti inayotoka hapo...Si mwingine ni Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha fans wa Skylight Band.
Marafiki wakimpongeza rafiki yao Loveness aliposhehrekea siku yake ya kuzaliwa na Skylight Band.....Na wewe pia unakaribishwa kujumuika na bendi yako ya kijanja leo.
Marafiki wa Birthday Girl Loveness wakicheza wimbo maalum ulikuwa dedicated na birthday girl.
Birthday Girl alijiachiaje...!!
Palinogaje??? Mzuka sana...!
Kiukweli wamebarikiwa kipaji.....Divas wa Skylight Band wakiendelea burudani.
Asanteni kwa burudani bendi yangu Skylight....ndio maneno ya birthday girl Loveness.
Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera pamoja na Winfrida Richard wakitoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa ilyopita kwenye kiota cha Thai Village.
Vijana walikulaje bata ulikosekana wewe tu unyesoma post hii.
Sam Mapenzi akiwajibika jukwaani.
Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na burudani ya kipekee ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Shangwe za hatari....hapana chezea Skylight Band.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akiwapa raha mashabiki wake ndani kiota cha maraha cha Thai Village Ijumaa iliyopita.
Moses Kinanda akifanya yake.
Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika kwa nafasi.
Vijana wa Skylight Band wakisebeneka.
Winfrida Richard akiwapa raha za pwani mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya Thai Village.
Wambele aendele mbele na wanyuma arudi nyuma.....raha za Pwani.
Palikuwa hapatoshi.
Mashabiki wa Skylight Band wakiduarika.
Rappa Joniko Flower akiduarika na mmoja wa mashabiki wake.
Aneth Kushaba AK47 akiongozi wanamuziki wenzake kutoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band.
Umati wa mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 akishow love na wadau.
Wadau wa Skylight Band.
Mdau Benny Kinyaiya naye alikuwepo.
Backstage Winfrida Richard na Digna Mbepera.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akishow love na mdau wa Skylight Band Natali almaarufu kama Mdanande.
Wadau wakila bata kwenye kiota cha Thai Village.