FULL TIME:REAL MADRID 1-0 BAYERN MUNICH Goal: Benzema 19.
Mchezo nusu fainali ligi ya mabingwa Ulaya usiku wa leo,unamalizika kwa kioja cha aina yake mnamo muda ya nyongeza dakika 90+2, Ni pale mchezaji wa Buyern Mario Mandzukic alipo pata nafasi ya wazi na kumsogezea pande Philipp Lahm naye akaminya kwa mwenzake Thomas Muller, Muller akiwa katika malengo ya kupiga mpira ,anafanya kujikwatua kwa kisingizi kwamba Xabi Alonso kamchezea vibaya katika eneo la hatari,lengo lake ikiwa ni kupata penati
Benzema akishangilia bao la kuongoza mbele ya mashabiki Real Madrid,Madrid 1-0 Buyern
Pichani anaonekana Kuchanganyikiwa mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo, baada ya kukosa bao la wazi ikiwa ni nafasi ya pili kwake
Hekaheka mbalimbali, anaonekana mchezaji waBayern Munich Philipp Lahm akijaribu kumtoka mlinda mlango wa Real Madrid Iker Casillas akiwa chini.
Mwamuzi Howard Webb katika majadiliano Mchezaji wa Bayern Munich Arjen Robben
Mchezaji wa Bayern Philipp Lahm (kushoto) akijaribu kuruka viunzi dhidi yaIsco wa Madrid
Anaonekana kocha wa Bayern Munich , Pep Guardiola akitoa ishara ya malalamiko kwa mwamuzi baada ya mchezaji wake Philipp Lahm (aliyechini ) kukwatuliwa na Isco wa Real Madrid
Akiwa katika maumimu!! anaonekana Mwamuzi Howard Webb akidhibitisha kama kweli kaumia dhahiri mchezaji Pepe wa Real Madrid
Mchezaji Pepe wa Real Madrid akitoa ishara ya kuhitaji matibabu
Cristiano Ronaldo (kulia) akifuatilia namna shuti lake linavyo okolewa na kipa Manuel wa Bayern
Mshike mshike kati ya mchezaji Gareth Bale (kulia) na Mchezaji wa Bayern, Lahm
Kinachotakiwa ni mwelekeo sahihi: ndivyo anavyo onekana Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola akitoa maelekezo kwa Arjen Robben.
Ni kizuri kama dhahabu: huu ndio muonekano wa kiatu kipya alichokitumia Cristiano Ronaldo uwanjani usiku wa leo muda huu anaingia Gareth Bale kuchukua nafasi ya Ronaldo hii ni baada ya Pepe kuumia.
Pichani mmoja wa madoo,shabiki wa Real Madrid anaangaika kuzoom camera yake kupata picha.
Hivi ndivyo alivyo pendeza mwanadada msaidizi wa timu ya Bayern Munich .