Bukobawadau

KISHINDO CHA AJALI DARAJANI KASARANI BUKOBA

Hii ni barabara kuu inayoingia na kutoka Bandarini Mjini Bukoba,kwa jina ni barabara ya Uganda ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba.
 Hivi Ndivyo linavyo onekana Gari likiwa limeacha njia na kupinduka darajani,tukio hili limetokea  alfajiri ya Jana Jumamosi Aprili 5,2014,chanzo cha ajali hii hakijafahamika
Ni katika Daraja la Kasarani Mjini hapa , kama inavyo onekana pichani  ikiwa imechukua muda mrefu  hadi jitihada za kuondolewaa gari
  Gari maalum ya kuinulia mizigo (focal lif )likiwa likifanikiwa kulitoa Gari hilo darajani.
Camera yetu ikiwa  mahali ambapo ajali ya gari imetokea
 Muonekano wa Daraja la Kasarani Mjini Bukoba ilipotokea ajali hii.
Hivi ndivyo  Gari  lenye nambari hizolilivyoharibika  na Dereva kanusurika .
 Mshirika akijaribu kuangalia masalia ndani yamajini , mda mchache baada ya Gari kuondolewa darajani hapo.
  Mkondo wa mto maji haya yanaelekea ndani ya Ziwa Victoria
 Kutoka eneo la tukio, mpaka hapo Bukobawadau Blog hatuna la ziada,

Taswira Mjini hapa ikiwa Mvua kubwa zinaendelea kunyesha.
Next Post Previous Post
Bukobawadau