MAN UNITED 1-1 BAYERN MUNICH 1 NI KAMA MANCHESTER UNITED YA ZAMANI
Bao la kuongoza la Manchester United lililofungwa na Mchezaji Nemanja Vidic kwa kichwa Hakika usiku wa leo timu ya manchester united wanastahili pongezi,kwa kiasi kikubwa wameonyesha malengo,Mapema ya mchezo wamejaribu kutengeneza nafasi kadhaa za goli,na wamepata goli la kuongoza kabla ya wapinzani wao.
Kipindi cha pili United walianza kwa kufanya mabadiliko, ambapo alitoka Ryan Giggs ambaye akuonyesha msaada wowote kama kiungo na nafasi yake kuchukuliwa na Mchezaji Shinji Kagawa.
Ryan Giggs hii inaweza kuwa mechi yake ya mwisho katika Ligi ya Mabingwa ndani ya uwanja wa Old Trafford
Nafasi ya Waziya kujutia kwa Manchester United wakati Mchezaji Danny Welbeck (katikati) anashindwa kujua anacho kifanya pale shuti lake linapo okolewa na mlinda mlango wa Bayern Munich,Manuel Neuer
Mashabiki Bayern Munich wakionyeshavitambaa vya rangi yao ndani ya Uwanja wa Old Trafford.
Mbinu za kimchezo ni siri,Pichani anaonekana meneja wa Manchester United David Moyes akitoa ishara kwa wachezaji wake uwanjani
Kipa wa Manchester United David de Gea katika majukumu yake ya kuokoa mpira.
Hekaheka langoni mwa Manchester United kama anavyo onekana Mchezaji Rio Ferdinand akiokoa.
Mchezaji waManchester United Antonio Valencia akimfanyia undava mchezaji wa Bayern, Philipp Lahm.
Mwamuzi Carlos Velasco Carballo anatoa kadi ya njano kwa mchezaji Antonio Valencia wa Manchester United kwa mchezo mbaya ,pichani wachezaji wachezaji wa Bayern wakionyesha kuchukizwa na kitendo hicho
Meneja wa Zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson anaonekana akiangalia saa yake ikiwa ni kipindi cha kwanza cha mchezo.
Hekaheka za uwanjani,Danny Welbeck akimchezea vibaya Mchezaji wa Munich Javi Martinez
Mchezaji wa Bayern Munich,Bastian Schweinsteiger akishangilia baada ya kufunga baola kusawazisha 1-1 katika uwanja wa Old Trafford
Mchezo wa leo tumeshuhudia Mchezaji Bastian Schweinsteiger wa Bayern Munich akipata kadi nyekundukatika dakika ya mwisho
Mchezaji Toni Kroos (kulia) akiteta jambo na Kocha Pep Guardiolawakati anafaniwa mabadiriko
Meneja wa Manchester United ,David Moyes akitafakali hatima yake kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya makubwawa Ujerumani Bayern Munich
Kocha Mkuu wa Bayern Guardiola anaona sare ya Ugenini ya bao 1-1 inamanufaa kwake
Ni shidaaa, Mchezaji Arjen Robben akifanya yake katika harakati mbele ya Shinji Kagawa (kushoto) na Phil Jones
Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola (kushoto)akitikisa kichwa juu chini wakati anapeana mikono na David Moyes meneja wa Manchester United.