MDAU FRANK THEODORY KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA USIKU ILIYO ANDALIWA NA RAIS KIKWETE
Mdau frank theobald theodory (katikati) akiwa na Rais Jakaya Kikwete na mkewe,Mama Salima alipo pata bahati ya kushiriki Hafla ya Chakula cha usiku iliyo andaliwa na Mh Rais Kikwete alipokutana
na viongozi wa watanzania wanaoishi Nchini Ubelgiji.