NJOO TUCHEZE STYLE YA "YACHUMA CHUMA" NA SKYLIGHT BAND LEO NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE
Video mpya ya nyimbo ya Kariakoo ya Skylight Band...Enjoy.
Aneth Kushaba AK47 (wa pili kushoto) akiongoza waimbaji wa Skylight Band kutoa burudani burudani kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Skylight Band na staili yao ya “Yachuma chuma” kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka ndani kiota Thai Village usikose burudani ya kipekee leo usiku kuanzia saa 9:30.
Umati wa mashabiki wakishuhudia burudani ya Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.