SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA MWANZA PASAKA KWENYE KIOTA KIPYA CHA JEMBE BEACH RESORT
Wadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa burudani ya Skylight Band ndani ya jiji la Mwanza kwenye sikukuu ya Pasaka.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akishow love na wadau wa ukweli ndani ya Jembe Beach Resort.
Mdau Rama wa Villa Park ya jijini Mwanza akipata Ukodak na Hellen Kazimoto wa Jembe Beach Resort wakati wa sherehe za Pasaka.
Counter ya Jembe Beach Resort ikiwa imesheheni vinywaji vya kila aina.
Mandhari ya muonekano wa garden ya Jembe Beach Resort iliyopo Malimbe jijini Mwanza.
Mwanamuziki wa Skylight Band Winfrida Richard akipata ukodak kwenye upepo mwanana katika fukwe za Jembe Beach Resort.
Digna Mbepera wa Skylight Band katika pozi matata kabla ya kupanda jukwaani kutoa burudani.
Sehemu maalum iliyoandaliwa wakati wa Pasaka ndani ya kiota cha Jembe Beach Resort iliyopo Malimbe jijini Mwanza.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Ndege ambaye pia ni mmiliki wa Jembe Beach Resort, Dkt. Sebastian Ndege(kulia) wakihamaki jambo na mdau Rama wa Villa Park (katikati) pamoja na Mkuu wa Operations wa Jembe Beach Reort Hellen Kazimoto.
Hashim Donode wa Skylight Band akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza huku akisindikizwa na Digna Mbepera pamoja na Winfrida Richard kwenye show iliyofana katika kiota cha Jembe Beach Resory sikukuu ya Pasaka jijini Mwanza.
Raia wa kigeni wakishuhudia Live Music kutoka Skylight Band ndani ya Jembe Beach Resort.
Baadhi ya wateja wa Jembe Beach Resort wakipata moja moto moja baridi huku wakishuhudia Live Match kwenye Big Screen.
Divas wa Skylight Band Winfrida Richard na Digna Mbepera wakiwapa raha wakazi wa Mwanza kwenye stage ya aina yake ndani ya Jembe Beach Resort.
Mjengo wa CLUB JEMBE uliopo ndani ya Jembe Beach Resort utakaofunguliwa hivi karibuni.
Sam Mapenzi wa Skylight Band akifanya yake jukwaani wakati wa sikukuu ya Pasaka jijini Mwanza.
Wadau wakishuhudia burudani ya Skylight Band ndani ya Jembe Beach Resort.
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula (mwenye miwani) akisheherekea sikukuu ya Pasaka ndani ya Jembe Beach Resort na wadau.
Vijana wa Skylight Band wakishambulia jukwaa.
Wakazi wa Skylight Band jijini Mwanza wakiserebuka ndani ya Jembe Beach Resort.
Sony Masamba akiwasebenesha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani).
Winfrida Richard akikonga nyoyo za mashabiki wa Skylight Band ndani ya Jembe Beach Resort.
Digna Mbepera akiburudisha mashabiki wa Skylight Band Mwanza.
Aneth Kushaba AK47 akichapa mzigo kwa mashabiki wa Skylight Band wa jijini Mwanza ndani ya Jembe Beach Resort.
Aneth Kushaba AK47 akisebeneka na Blogger wa jijini Mwanza maarufu kama Gsengo
Burudani ikiendelea kwa mashabiki wa Mwanza.
Wadau wa ukweli wa Skylight Band ndani Jembe Beach Resort.
Mrembo Anne akisebeneka ndani ya Jembe Beach Resort.
Mashabiki wakijinafasi kwa raha zao.
Mwanza are feeling the music....??
Ooooo Yeah.....!!!
Twende kazi sasa...
AISETU PEGU....N'DOSA.......Hashim Donode akiwapa raha mashabiki wa Mwanza.
Watuache kwa raha zetu.....
Mzuka mwanzo mwisho.
Sony Masamba akiwajibika.
Muguu mbele wa kulia nyuma....Yachuma nataka mukanda ya chuma chuma..!!
Sam Mapenzi akiwafundisha kucheza style mpya ya "Kikuku" waliyoitambulisha jijini Mwanza kwa mara kwanza.
Shabiki wa Skylight Band akifanya yake jukwaani...Kikuku.....Kwiyo kwiyo....!
Jamani mumeeelewa staili ya "Kikuku Kwiyo Kwiyo"....!
Wasi wasi wako tu.......Sony Masamba akiongoza safu ya Skylight Band.
Hapo ndio mambo yetu sebene haliendi bila huyu jamaa......Idrissa Drum akipika muziki wa Skylight Band jijini Mwanza.
See gobe...Omo see gobe eh...See gobe...Omo see gobe eh..See gobe...Omo see gobe eh...See me see gbege...Ewa ba mi ri gobe.......!!Sam Mapenzi akicheza sambamba na mashabiki wa Skylight Band
Hapana chezea Skylight Band.
Shangwe zilirindima.
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Entertainment Dr. Sebastian Ndege akimtambulisha mpiga gitaa mpya wa Skylight Band Tophy Bass kwa wakazi wa Mwanza.
Tophy Bass akilikung'uta gitaa.
Moja ya kiungo muhimu cha Skylight Band ni Tumba.....Daudi Tumba akifanya yake.
Sound Engineer wa Skylight Band Ababu.
Hellen Kazimoto na Dj Frank wa CLUB JEMBE.
Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula, akipata Ukodak na Operations Manager wa MOblog Zainul Mzige ndani ya kiota cha Jembe Beach Resort.
Mashabiki wa Skylight Band jijini Mwanza.
Punguzo maalum la bei katika msimu huu wa sikukuu ya Pasaka, sasa unaweza kufurahia chaneli zaidi y 70 bila dish wala chengachenga, utapata king'amuzi kwa Tsh 79,000 badala ya 109,000.wahi package yako yenye kifurushi cha Tsh 40,000 bure.BUKOBA fika ITEMBWE GENERAL SUPPLIES wakala mkuu wa Startimes ,wanapatikana Kashozi Road, mkabala na ofisi ya MAYAWA au piga simu namba 0787 007 666/0754 760 633.
Habari kubwa ni kwamba usipolipia unaweza kufurahia chanel 5 muhimu za nyumbani bure kabisa!!
STARTIMES ENJOY ULIMWENGU WA DIGITAL WA TANZANIA
.
.